Watu wengi wana vyeti vya kuzaliwa, au karatasi rasmi za kuwatambulisha - lakini kwa wale wasio nazo, hilo linaweza kusababisha kuwa na maisha ya kutoonekana au maisha yasiyo na uhakika. Kukosa cheti ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amelifuta agizo lililotolewa waziri wa katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe linalowataka watu wote wanaotaka kufunga ndoa kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia ...