Wakati Kiingereza kimekuwa lugha rasmi nchini Tanzania, Kenya na Uganda kwa zaidi ya miaka 60 sasa, nchini Marekani, ni tarehe 1 Machi tu ndio lugha hiyo ilifanywa kuwa rasmi. Hiyo ni baada ya Rais ...
Uamuzi wa nani atakayechaguliwa kuwa Papa ajaye unaweza kuwa na athari kubwa kwa Kanisa Katoliki na waumini wake wapatao bilioni 1.4 duniani kote. Lakini pia huu ni mchakato mgumu na usiotabirika kwa ...