Amesema, Mbowe ni kiongozi aliyewahi kusisitiza kuamini kwenye maridhiano yanayoleta faida. "Ile hali anayoiamini kwenye maridhiano ianzie ndani, ukiangalia Chadema hivi sasa kimegawanyika kuna kambi ...
Faida ni zipi? Maandalizi ya Mkutano Mkuu hugharimu fedha nyingi. Kiutamaduni, Sekretarieti ya CCM ingepaswa kuandaa kalenda ya uchaguzi, kutengeneza fomu za wagombea na kufungua dirisha ili wenye nia ...