YANGA imekamilisha usajili wa mshambuliaji anayemudu pia kucheza winga zote, Jonathan Ikangalombo kutoka AS Vita, lakini taarifa ni kwamba nyota huyo mpya ametegemewa kucheza mechi za ndani tu za Ligi ...